Jumuiya Afrika Mashariki: Ardhi itaendelea kuwa mali ya Watanzania
SERIKALI inafanya juhudi za makusudi ili suala la ardhi lisijumuishwe kwenye makubaliano ya itifaki ya soko la pamoja la Afrika Mashariki na badala yake, sera na sheria za ndani ya nchi zinafanyiwa marekebisho kutokana na suala hilo kuwa nyeti.
Habari Zaidi Kong'oli Hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment