Welcome.

Ndugu zangu nyote muishio nchini Ukraine, basi tumekianzisha chombo cha kufikishiana habari za kila siku zinazojili nchini Ukraine na nyumbani na ulimwenguni kwa ujumla.

Ikiwa hiki ni chombo chetu, basi tusisite kufikishiana habari kwa ujumla.
Ukiwa na habari yako usisite kuniandika na kunitumia kwa email yangu ..... solo6k@yahoo.co.uk

Natumaini chombo hiki kitapokelewa kwa mikono miwili na wanajamii wote wa Kitanzania nchini Ukraine.
Natanguliza Shukrani Zangu.



0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2009 Bloggerized by : CTU | Inspired By ReedzSolution : ReedzSolution