Ukumbi wa Mijadala na Maongezi Yetu
Habari!
Hii Ni Mojawapo Ya Mafanikio Kutoka Kwa Mmoja Wa Wenzetu Jijini Odessa, Katika Libeneke La Sheria.. Anasemaje....
" Jiunge nasi mtandaoni mijadala na maongezi forum aka ukumbi! tuweze kusikia hoja na mada zako mbalimbali, katika ulingo wowote uupendao kwa maisha ya yetu ya kila siku na jamii yetu!!
Jisikie huru kutumia uhuru wako wa kujieleza kikatiba na kidemokrasia kama mwananchi, msomi au mpenda maendeleo!
Karibu sana ! "
Reedz!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
thanx kwa sana.
Ahsante mkubwa kwa kutuletea hii kitu ya kutuhabarisha wana wa kitz hapa UA!
Tuko pamoja.....
Post a Comment